Tuesday, April 25, 2017

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wananchi wote ambao hawajalipa kodi ya ardhi mwaka 2016/2017 walipe kodi hiyo kabla ya June 30, 2017.
Waziri Lukuvi amesema watakaoshinda kutekeleza agizo hilo watachukuliwa hatua ikiwepo kufikishwa Mahakamani na kufutiwa hati za umiliki wa ardhi.

0 comments:

Post a Comment