Wakurugenzi wa Jamii Media Limited, Maxence Melo kulia na mwenzake Mike Mushi, wakiwa wakiwa nje ya mahakama ya Hakimu Kisutu baada ya kesi yao kupangiwa tarehe ya kuanza kisikilizwa.
Wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha shughuli za mtandao wa kijamii bila kusajiliwa na kuzuia polisi kufanya uchunguzi.
Kesi iliyopo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba itasikilizwa Aprili 2 wakati kesi nyingine iliyopo mbele ya hakimu Victoria Nongwa itaanza kusikiliza Aprili 3, mwaka huu. Upande wa mashtaka umesema katika kesi hiyo utawasilisha mashahidi saba



0 comments:
Post a Comment