Baada ya kukaa kwa siku mbili nchini Hong Kong, hatimaye Le Mutuz Nation sasa yupo Guangzhou/ China ambako pamoja na shuguli zake za kibiashara leo alihudhuria forum maalum ya CHINA - TANZANIA BUSINESS FORUM ambayo iliwakutanisha na Wafanya Biashara maarufu
wa China. Kikao hicho pia kulihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki.







0 comments:
Post a Comment