Saturday, April 22, 2017

Bado headlines za soka la bongo kwa sasa ni kuhusiana na mvutano unaoendelea baina ya club ya Simba dhidi ya shirikisho la soka Tanzania TFFSimba wamekuwa wakiituhumu TFF kutowatendea haki kwa mambo kadhaa na kuamini kuwa TFF wanawapendelea wapinzania wao Yanga.

Mohamed Kiganja Katibu Mkuu wa BMT
Simba wametangaza kufanya maandamano ya amani siku ya Jumanne ya April 25 kutoka makao makuu yao Kariakoo hadi wizara yenye dhamana ya michezo kupeleka malalamiko yao, kufuatia malalamiko hayo ya Simba, Baraza la Michezo Tanzania BMT kupita katibu mkuu wake Mohamed Kiganja wameagiza mambo matano yafanywe na TFF na Simba.

0 comments:

Post a Comment