Kulingana
ma gazeti la the monitor nchini Uganda,watoto hao hawajaathirika
kiakili lakini hawawezi kuzungumza na watu wengine.Wanaamini tu kile
baba yao anachowaambia.
Kulingana
na mama yao watoto hao waliweza kuishi kwa kula mayai ya chura
yaliochemshwa na majani,ambayo hula kila asubuhi na jioni na hutumia
maji kutoka shimo lililochimbwa na baba yao.
Mama
yao anasema kuwa baba ya watoto hao alimzuia kutozungumza nao hatua
iliowafanya kutojifunza lugha ya kiluo wakati walipokuwa wadogo.
Mwanamke huyo amesema kuwa alionywa na baba huyo kutosema chochote kuhusu watoto hao.via>>BBC
0 comments:
Post a Comment