Saturday, April 29, 2017

Baada ya Real Madrid kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kumnunua kipa wa Manchester United David de Gea, Sasa United imeonekana kukubaliana na hilo na iko tayari kupokea ofa ya kitita cha pauni milioni 60 ili kumrusuhu golikipa huyo bora kwa sasa.
Wakati Man United imekubali ofa hiyo,Wachambuzi wa soka wamewataja makipa wanaonekana wako kwenye rada za Man United kuhakikisha wanaziba pengo la kipa huyo Mhispania.


Joe Hart (Manchester City)
Hugo Lloris (Tottenham)
Bernd Leno (Bayer Leverkusen)
Samir Handanovic (Inter Milan)
Jordan Pickford (Sunderland)
Kasper Schmeichel (Leicester)
Jan Oblak (Atletico Madrid)

0 comments:

Post a Comment