Kocha mchezaji na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla Ameongeza Dozi YA mazoezi lengo ni kukiandaa vizuri kikosi chake kiweze kuibuka na ushindi kwenye Mechi Kali itakayofanyika tarehe 26/4/2017 saa 10.00 jioni uwanja wa Sokoine dhidi YA wapinzani wao Timu YA VIONGOZI wa Dini
Mechi hii inavutia mashabiki wengi kwani Mechi YA mwisho iliyofanyika miaka 2 iliyopita TIMU ya VIONGOZI wa Dini waliibuka washindi
Kocha wa TIMU ya VIONGOZI wa serikali ametamba kuwa kwa jinsi alivyowaona wachezaji wake kuna kila dalili YA kuibuka na ushindi ikiwa ni mara yake YA kwanza kushiriki kukiandaa na kucheza ktk Mkoa wa Mbeya









0 comments:
Post a Comment