Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 05, 2017
"Hatukubari, tutaenda kuitafuta haki yetu mahakamani, haiwezekani watu
wa CCM watuchagulie watu wetu wa upinzani, haki imepindishwa, tunajua
kuna mkono wa Rais na Waziri mkuu. Lakini tutawarudisha tena hawa hawa
wawakatae tena, ni mambo ya kipumbavu haya tumefanyiwa" - F. A. Mbowe Mwenyekiti Chadema.
0 comments:
Post a Comment