Posted by Williammalecela.com on Friday, April 14, 2017
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye asubuhi ya leo ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya Twitter akisema Leo ni Ijumaa Kuu!Yesu Kristo alibeba machungu yote!Tusamehe wote waliosababisha machungu maishani mwetu! Tumshukuru Mungu kwa kila jambo!
0 comments:
Post a Comment