Friday, April 7, 2017

Mke wa mwamuziki ROMA Mkatoliki ambaye inaripotiwa kuwa alikamatwa na watu wasiojulikana tangu jana jumatano ya Aprili, 5 amezungumza kuhusu mumewe.
Akifanya mahojiano na HZB TV amethibitisha ni kweli mume wake haonekani tangu alipoondoka jana nyumbani kwenda studio, zaidi waweza kuangalia video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment