Friday, April 14, 2017

Asitisha RASMI zoezi la kuhamisha makao makuu kwa kuwa zoezi zima lifanywa bila kuwashirikisha wananchi
- Wananchi wa Kijiji cha Inyala ilembo wamtuhumu Diwani kuhamisha makao MAKUU YA kata kutoka Kijiji cha Inyala- Ilembo kwenda Kijiji Shisyete- Mkuu wa Mkoa Afanya mkutano Kijiji cha Inyala ilembo ukishirikisha Vijiji vya Shisyete na Isonzo Vijiji 3 vinavyounda kata YA SHIZUVI 
- Baada YA kusikiliza pande zote Mkuu wa Mkoa amesitisha zoezi lote la kuhamisha makao makuu Baada ya kubaini kuwa wananchi hawakushirikishwa kikamilifu- Aagiza watendaji waendelee kufanya kazi ZA kata Kijiji cha Inyala Ilembo
- Ataunda Kamati itakayoratibu MAONI YA wananchi na wataamua wananchi ni wapi pawe makao makuu YA Kata 
- Ameshangaa kuona uamuzi ulivyofanywa kwa usiri bila kushirikisha wananchiWananchi wamefurahishwa uamuzi wa kusitisha zoezi la kuhamisha makao makuu YA Kata











0 comments:

Post a Comment