Thursday, April 6, 2017

Image may contain: 19 people, indoor

NI KAZI JUU YA KAZI .....BAMPA TO BAMPA .......HATIMAYE FILAMU ZA NJE ZISIZO FUATA UTARATIBU ZAPEWA SIKU KUMI
na RC @paulmakonda ...... ZISIONEKANE NDANI YA JIJI LA DARESALAAM THANKS MH.PAUL MAKONDA THANKS KAMANDA SIRO....leo at Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Wsanii Maarufu Nchini walipokwenda kuomba msaada kwa RC wa kuinua soko la Filamu zao nchini @jb_jerusalemfilms & @raythegreatest .....HABARI ZOTE ZA RC MAKONDA nenda at www.williammalecela.com au "Blogu ya Wananchi".....
.......*Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amepiga marufuku kuanzia leo tarehe 06 Aprili, 2017 uuzwaji, uingizwaji na usambazaji wa CD, flash, DVD na filamu za ngono katika mkoa wa Dar es Salaam.*.........Hali kadhalika *Mhe. Makonda ametoa siku kumi kwa wote wanaojihusisha na biashara isiyo halali ya ku-download filamu na kazi za wasanii jijini waache mara moja kwani baada ya siku hizo, ofisi yake kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum wataendesha msako wa kuwakamata wote watakaokuwa bado wanajihusisha na biashara hiyo.**........Mhe. Makonda pia amemuagiza .... *kufanya tadhmini ya haraka kubaini ni maduka mangapi yanayouza mikanda ya filamu jiji Dar es Salaam.*........Mhe. Makonda ametoa maagizo hayo baada ya *kutembelewa ofisini kwake na wawakilishi wa wasanii na wasambazaji, watengenezaji wa Filamu jijini Dar es Salaam* ambao walifikisha kilio chao cha kutonufaika na kazi zao za uzalishaji na usambazaji wa filamu nchini kutokana na kuwepo kwa maharamia wanaoziiba kazi hizo kwa kuzi-download kisha kuzisambaza kimagendo kwa bei ya kutupa bila ridha yao na zikiwa hazina stempu ya mamlaka ya mapato!.......Wasanii hao wakiongozwa na Jacob Steven - JB, Raymond Kigosi - Ray walimuomba Mhe. Mkuu wa Mkoa kuingilia kati tatizo lao hilo na Luisa tasnia nzima ya sanaa nchini.
....Wasaidizi wa Rais wangu... wanatekeleza kulinda maslahi ya wanyonge nchini..*
.....ili Nchi yangu Ipate..
*Matokeo chanyA+*

0 comments:

Post a Comment