Wadau wa Elimu wapongeza na wamekujitokeza kwa Wingi
Kongamano labainisha changamoto za elimu na mikakati ya kukabiliana Na changamoto zatajwa
- Lengo la KONGAMANO ni kuongeza ufaulu na elimu bora ktk Elimu YA msingi na sekondari
- Serikali YA Mkoa wakusudia kuanzisha mfuko wa Elimu kwa lengo la kusaidia Vifaa vya Maabara, ununuzi wa vitabu, motisha kwa walimu na wanafunzi wanaofanya vizuri na kuingiza Umeme mashuleni
- Mkuu wa mkoa AELEKEZA wazazi na walezi kuchangia Chakula mashuleni na kushirikiana na serikali ktk ujenzi wa hostel
- Aagiza madai YA walimu yashughulikiwe kuanzia ngazi YA halmashauri kwa Yale ambayo yapo NDANI YA uwezo wa halmashauri
- Mkoa umejipangia MALENGO YA kuwa Miongoni mwa mikoa KUMI bora kitaifa
- Maazimio YA kongamano yatakuwa ndiyo dira YA Elimu kimkoa na yataelekezwa katika ngazi zote





0 comments:
Post a Comment