Mwanadada
Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na
ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu
wenyemajina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangazaji maarufu nchini humo.
Kwamujibu
wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu
mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii baada ya
babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.


0 comments:
Post a Comment