Mrembo Amber Lulu Amechafua hali ya hewa huko mitandaoni baada ya video yake iliyovuja akiongea maneno makubwa.
Kwenye hiyo Video Ameonekana akisema :
"Mie naweza nikatembea hata na kichaa, lakini ananipenda anani take care, Msambwanda anautake care, hata chizi mie nakuwa naye as long as anani Fuc....k vizuri"
Haijaeleweka Vizuri maneno hayo alikuwa anamwambia nani, Video hatujaiweka kutoka na maadili

0 comments:
Post a Comment