Baraka the Prince anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kupost picha kwenye mtandao wake wa Instagram yuko na manager wa msanii Diamond Platnumz, Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakicomment kwenye picha hiyo wakishangazwa na Baraka kupost picha akiwa na Babu Tale.
0 comments:
Post a Comment