Monday, April 17, 2017




Harmorapa Ameandika haya:

"Hii sio show ya bure ilikua na kiingilio chake babu👌👌waambieni nyani kasema #Mungu akisema yes akuna Wa kuzuia maamuzi yakewapo wengi afu wamefanya show ya bure ila bado wamekaa kwa #sokweMmoja asante @ericshigongo na @globalpublishers
.
Naombeni nipumzike nikiamka ntawapostia mapicha na maclip ili muone jinsi ndugu yenu Mungu alivyo nibariki" Harmorapa

0 comments:

Post a Comment