Msanii chipukizi wa muziki afahamikae kama Bulbul amemvutia waya mwakilishi wa shirika la wambea Duniani, Soudy Brown na kumtolea malalamiko kuhusu kuibiwa pesa na msanii Motra The Future hitmaker wa ngoma ya Sina Koloni.
Bulbul amedai kuwa kuna siku walikuwa studio na msanii Motra The Future ndio kuna muda alitoka na kuacha begi lenye pesa kama million 2 hivi studioni hapo huku akiwemo na Motra The Future, wakati aliporudi hakumkuta Motra wala begi hilo lenye pesa.
Soudy Brown amepiga story na Motra The Future na wemelizungumzia suala hilo. Unataka kujua Motra alijibu nini kuhusiana na mchongo huo? Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, Bonyeza play uweze kuusanukia mchongo mzima.
0 comments:
Post a Comment