Saturday, April 8, 2017

Tumeinyaka clip ambayo imevuja katika mitandao ya kijamii wakisikika Nuh Mziwanda pamoja na msanii chipukizi afahamikae kama Bamuyu, wakitoleana maneno makali ikiwa Bamuyu akisikika akimlalamikia Nuh Mziwanda kuhusu kumtaka kimapenzi mwanamke ambaye ni mpenzi wake.
MSANII NUH MZIWANDA NA BAMUYU VITANI KISA MWANAMKE
Soudy Brown amepiga story na wote wawili, Bamuyu amethibitisha kutokea kwa kisanga hicho na ameweka wazi kwamba Nuh amekuwa akimsumbua mpenzi wake mara kwa mara, ila Nuh Mziwanda amekana kabisa kumtambua mtu ambaye anaitwa Bamuyu.

0 comments:

Post a Comment