Mtoto
wa mfalme nchini Saudi Alwaleed bin Talal ameugawa utajiri wake wote
kwa kuchangia watu wasiojiweza.Utajiri wake una kiasi cha dolla bilioni
20 akionesha utofauti na watoto wengine wote wa mfalme
huyo.Mwaka
jana aliwabeba waandishi wa habari kwenye ndege yake binafsi kwenda
kuhesabu utajiri huo.Yeye na Mke wake Ameera wamekuwa wakiishi kwenye
nyumba ya vyumba 420.


0 comments:
Post a Comment