Tuesday, April 25, 2017

Kama umefollow page za umbea katika mtandao wa Instagram naamini utakuwa umekutana na POVU ambalo alilitoa Skyner mzazi mwenza wa msanii Nay wa Mitego siku ya Birthday wa mtoto wao.
Povu ambalo lilikuwa likilenga kuwa Nay wa Mitego hana msaada wowote kwa mtoto huyo, hajui majukumu yake kama baba na vitu kama hivyo.
Soudy Brown ameamua kumtafuta Nay wa Mitego na kupiga naye story kwenye U-Heard ya leo April 24, Nay wa Mitego amekanusha tuhuma hizo na kudai kwamba hakuna mtoto wake hata mmoja ambayo hamuhudumii.
Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, bonyeza play uwqeze kuusanukia mchongo mzima.

0 comments:

Post a Comment