Kitaani kuna story zinazosambaa kumuhusu hitmaker wa ngoma ya Jike Shupa, Nuh Mziwanda na mmoja wa ma-video vixen waliohusika katika video ya wimbo wa Mwendo Tu wakwake Songa.
Tetesi hizo zinadai kwamba mrembo huyo yuko hatarini kuivunja ndoa ya Nuh Mziwanda kutokana na picha ambazo zimesambaa zikiwaonyesha wawili hao wakipeana kisses na vitu kama hivyo.
Soudy Brown amemvutia waya Nuh na kubonga nae kuhusiana na tetesi hizo, na Nuh amekiri kuwepo kwa matukio ya kukiss na mrembo huyo ila amedai kwamba ni kipindi ambacho alikuwa akishoot video na mrembo huyo.
Uhondo kamili wa story nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, bonyeza play kusikiliza mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment