Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 06, 2017
Waziri wa Mali ya Asili na Utalii Dr. Maghembe, akiwa na mtoto wake wa kiume Dr. Ngwaru ambaye majuzi alishinda ubunge wa Afrika Mashariki, baada ya kuwashangaza wabunge kwa uwezo wake mkubwa wa kchambua mambo ya kimataifa na hasa ya Jumuiya za Kimataifa.
0 comments:
Post a Comment