Rais John Pombe Magufuli akimwapisha Prof. Kitilia Alexander Mkumbo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017
Rais akimkabidhi Profesa Mkumbo, "nyenzo" za kufanyia kazi
Rais john Pombe Magufuli, a,kimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu, kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Leonard akwilapo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam







0 comments:
Post a Comment