Posted by Williammalecela.com on Saturday, April 01, 2017
Rais wa Jamuhuriya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam Paul Makonda Kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Wakati alipofika Kumsindikiza Mgeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Aliyemaliza Ziara yake ya Siku mbili hapa Nchini
0 comments:
Post a Comment