Ripoti zinaeleza kuwa Roma pamoja na wenzake watatu walitekwa a watu wasiojulikana siku ya tarehe 5 saa 3 usiku na kuwekwa mahala pasipoulikana hadi kufikia leo kuonekana bila kujua alikuwa wapi na kwanini walitekwa.
maswali yasiyipata majibu hadi muda huu juu ya kyutekwa kwa wasanii hao ni kwamba walikuwa wapi? Polisi walifikaje bado hawajatoa ufafanuzi? ni kwanini Roma na wenzake walitekwa ndani ya masaa hayo walikuwa wapo katika hali gani

0 comments:
Post a Comment