Kendrick Lamar amerudi tena kuwapa changamoto mashabiki zake pamoja na Rappers wanaomzunguka wakae vizuri na kuwa “Humble” na mashairi yake.Baada ya kuvuruga na ngoma yake ya “The Heart Part 4,” yenye kama wiki
sasa tangu kutoka kwake, Kendrick Lamar ameisogeza nyingine kwa mashabiki zake “Humble” ambayo imesukwa na Mike WiLL Made-It huku video ikiwa imetengenezwa na Dave Meyers, ambapo ukiicheki video hiyo utaona kuna mazingira ya Kidini na yakimtaani.
0 comments:
Post a Comment