Wednesday, April 5, 2017

Image may contain: 1 person
Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
kImage may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
Le Mutuz Nation kwa mara nyingine tena ameibuka na msichana mwingine mrembo kama kawaida yake hapa mjini na tetesi zinasema ana mpango wa kumuoa. Mrembo huyo anayeitwa Lily amekuwa pia akionekana onekana sana the King kwenye masafa yake ya Vilabu vya starehe hapa mjini Dar. Mpaka sasa imekuwa ni sintofahamu tupu za nani hasa ni mchumba au rafiki wa kike wa Le Mutuz kutokana na kuonekana na Wasichana wengi warembo hapa mjini.   

0 comments:

Post a Comment