
By @diamondplatnumz
@officialshetta ndugu yangu, Najua unanionea gere mwenzako toka juzi insta imehamia Madale....na wewe unataka kuingia kwenye huu upepo wa #Mzikisiasa .S..we usijiulize ingia tumaana mjini sasa hivi vingoma vya Mapenzi Vigumu...ikiwezekana jifanye hata unataka kumtolea Mahali Mange Umuoe...Kesho mji wote wako.....ila kuna mawili: Sentro au MatusI#SimbaMason
0 comments:
Post a Comment