Monday, April 10, 2017

Msanii Roma Mkatoliki amejitokeza mbele ya Waandishi wa habari leo April 10 2017 akiwa na wenzake ambao walitekwa na watu wasiojulikana akiwa studio za TONGWE RECORDS, hii video hapa chini ina simulizi yote aliyoyasema Roma.



0 comments:

Post a Comment