Saturday, April 29, 2017

Mashabiki wa masumbwi duniani wanasubiri kwa hamu pambano la uzito wa juu kati ya bondia chipukizi wa wingereza Antony Joshua dhidi ya mkongwe Wladmir Klitschko mchezo utakao chezwa kesho katika uwanja wa Wembley.
kuelekea mchezo huo mabondia hao walipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari na pia zoezi la kupima uzito kuelekea pambano lao la kuwania ubingwa wa uzito wa juu wa dunia.





0 comments:

Post a Comment