Tuesday, April 11, 2017

Image may contain: 4 people, people standing, sky and outdoorMkuu wa Mkoa wa Mbeya akagua ujenzi wa meli Tatu katika BANDARI YA Kyela.Meli moja yakamilika kukabidhiwa mwisho wa mwezi huu
- Asema uhusiano wa Tanzania na Malawi ni MZURI kuliko wakati wowote kukamilika kwa meli kutaongeza BIASHARA kati YA Tanzania na Malawi Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
- Awaomba wafanyabiashara na makampuni kujiandaa kutumia meli 2 za mizigo na moja YA abiria kwa ajili ya usafiri na usafirishaji wa bidhaa
- Serikali za MIKOA YA Mbeya , Njombe na Ruvuma zaombwa kuboresha Barabara zote zinazoingia ktk bandariImage may contain: one or more people
Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kijamii zinazosababisha kuongeza michanga na magogo kwenye eneo la bandari na kupunguza kina cha Maji na kuongeza tope bandariniImage may contain: 5 people, people standing and outdoorImage may contain: 1 person, standing, bridge and outdoorImage may contain: 2 people, people standing and outdoorImage may contain: 5 people, people standing, cloud and outdoorImage may contain: 2 people, people standing, shoes and outdoor

0 comments:

Post a Comment