Tuesday, April 18, 2017

Kaa mbali kabisa na Harmonize kwa sasa kwasababu upo strong na mlinzi wake bastola.

Tukio la kutekwa kwa Roma ni moja ya tukio ambalo lilimshitua kila msanii na mashabiki wa muziki wa Bongofleva kwa kile ambacho kiliwatokea wasanii hao pindi walipotekwa na watu wasiojulikana kwa kurudi na majeraha sehemu tofauti tofauti, Sasa kijana kutoka WCB, Harmonize aamua kuposti picha ya bastola katika kurasa yake ya Instagram kuonesha kwamba sasa watu wenye niambaya wakae mbali.
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Harmonize alifunguka kwamba SOMETIMES IT’S GOOD TO BE PROTECTED 
✌

0 comments:

Post a Comment