Thursday, April 27, 2017

Kama alivyowahi kufunguka Joh Makini kwamba OMG ni moja ya kundi ambalo linapaswa kuangaliwa vizuri kutokana na uwezo wao wa kuflow, sasa Jacqueline wolper nae amekunwa na “uongo na Umbea”.
dinsta

Baada ya “Nikipata Gari” kuwatambulisha vizuri kwenye masikio ya mashabiki wa Bongo Fleva, OMG wakaona sio kesi wakatupatia dude jingine ambalo ni “Uongo na Umbea” wakiwa wamemshirikisha Baraka da prince, Tukija kwa mrembo wetu Wolper, amefunguka kwamba “Uongo na Umbea” ndio ngoma yake ya siku ya leo, ukiachana na hiyo yaani OMG wamemgusa mrembo wetu.
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Wolper aliamua kushare feelings zake za ngoma hiyo kwa mfululizo wa posti mbili akiwa anadrive huku mdundo na sauti za washikaji zikiwa zinabang vizuri kwenye ndinga ya Wolper.

D

0 comments:

Post a Comment