Friday, April 28, 2017

Muungano wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.Aidha, NASA imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza
Muungano wa Upinzani Nchini Kenya NASA, umemtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa August 8, 2017

0 comments:

Post a Comment