Nchini
Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu
kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika
kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na
kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ya
kujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo.
0 comments:
Post a Comment