Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Chuo Kukuu cha (Istanbul Technical University (ITU)uturuki wakisherekea siku ya muungano jana mjini Istanbul mjini Istambul , sherehe hizo zimefanyika ikiwa ni kuadhimisha miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo walishiriki katika michezo mbalimbali na burudani fuatilia matukio ya picha chini ili kujua sherehe zilivyokuwa.
(Photos by Doreen Mlote, Engineering Student ITU )
0 comments:
Post a Comment