Wednesday, April 26, 2017

Mahabusu wanaotuhumiwa na ugaidi jijini Arusha leo baadhi yao wamegomea kushuka katika
gari la magereza kwa madai kuwa hawatendewi haki kwa kesi zao kutosikilizwa hali inayowalazimu kukaa mahabusu kwa muda mrefu bila kujua hatima yao
Watuhumiwa wa ugaidi baadhi yao wakiingia katika gari la magereza baada ya 32 kutii amri ya mahakama
Watuhumiwa wa ugaidi wakiwa katika viwanja vya mahakama leo jijini Arusha

0 comments:

Post a Comment