Sunday, April 9, 2017

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiasini kitabu cha wageni alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa ajili ya kukutana na watendaji wa Shirika hilo leo Jijini Dar esSalaam.Kulia ni Mkururgenzi Mtendaji wa shirika Dkt Ayoub Ryioba.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kulia) akimsikiliza Fundi Mitambo wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bw.Kasimir Chitenda (alievaa fulana) wakati alipofanya ziara katika shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.


Mkururgenzi Mtendaji Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt Ayoub Ryioba akitoa maelezo kuhusu utendaji wa Shirika kwa Waziri wa HabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia ) pamoja na watendaji wa shirika hilo wakati wa Ziara yaMhe. Waziri leo Jijini dares Salaam.


Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia.) akizungumzanaBodipamojanawatendajiwaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipofanyaziarakatikashirikahiloleoJijini Dar es Salaam.


Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikatiwaliokaa) akiwakatikapichayapamojanawatendajiwaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) leoJijini Dar es Salaam.


Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akiangaliajinsivipindivyaluningavinavyotengenezwaalipotembeleaAzamMedia leoJijini Dar es Salaam.


Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembeakibonyezakitufekatikaluningakinachoonyeshamsimamowaligikuuya Vodacom Tanzania Bara alipofanyaziaraAzam Media leoJijini Dar es Salaam.


Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) akizungumzanawasikilajiwaUhaiFM alipofanyaziaraAzam Media leoJijini Dar es Salaam.

Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwakatikapichayapamojanawatendajiwaAzam Media nabaadhiyaWatendajiwaWizarayakealipofanyaziarakatikaKampunihiyoleoJijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment