Friday, April 14, 2017

Baada ya Rais Dkt John Magufuli kumpa shangwe mwanafa kuhusu ngoma yake ya Dume Suruali aliyomshirikisha Vanessa MdeeMh Kigwangala naye atoa yake kwa Mwanafa.

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangalla hakuwa nyuma kufunguka yake kuhusu simu hiyo aliyoipata Mwanafa kutoka kwa Rais Magufuli, kupitia kurasa yake ya twitter ya waziri Kigwangala aliandika kwamba “Hongera somo @MwanaFA kwa kumgusa Rais wetu na mistari yako maridhawa iliyosimama! Endelea kung’aa mwanetu”


Hongera somo @MwanaFA kwa kumgusa Rais wetu na mistari yako maridhawa iliyosimama! Endelea kung'aa mwanetu 
https:// tatus/852193470081118208 

0 comments:

Post a Comment