Thursday, May 4, 2017

Mkutano wa saba wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania umeendelea tena leo May 4, 2017 ambapo wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha  kwa maka 2017/2018 katika Wizara ya Afya, ustawi wa jamii, jinsia, wazee na watoto ambapo Mbunge wa kuteuliwa Salma Kikwete ni miongoni wa waliosikika.



0 comments:

Post a Comment