Thursday, May 11, 2017


Hapo juu ni Lwambo Makiadi mwenyewe Mwaka 1981 akiwa na kina Josky Kiambukuta (Vocal), Madilu Systeme (Vocal), Lutumba Simaroo (2nd Solo), Pepe Ndombe (Vocal), Maestro Diluangana (Solo), Djo Mpoyi (Vocal), na Chini ni Bana Ok Jazz wakiongozwa na Lutumba Simaroo baada ya Lwambo Makiadi kutangulia mbele ya haki, wakiurudia wimbo ule ule wa "Bimansha"

0 comments:

Post a Comment