Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 30, 2017
 |
| Tiger Woods Bingwa wa muda mrefu wa mchezo wa Golf Duniani, amekamatwa na Polisi huko Miami Marekani akiwa anaendesha gari amelewa pombe. Pichani ni akiwa mkononi mwa Polisi huko Florida/Miami ambako anatazamiwa kufunguliwa mashitaka karibuni. |
0 comments:
Post a Comment