Wednesday, May 24, 2017

Image result for kitwana kondo images
Meya wa zamani wa Jiji la Dar Mzee Kitwana Kondo, amefariki muda mchache uliopita huko katika Hospitali ya Hindu Mandal, ni baada ya kuuugua kwa muda mrefu sasa.
 
Image may contain: 1 person, indoor

Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun.

Mzee Kitwana Kondo, KK amefariki dunia jioni hii katika Hospitali ya Hindu Mandal. Atazikwa kesho 25/5/2017 In Shaa Allah

Wakati wa uhai wake, pia Marehemu Kitwana Kondo aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigamboni.

0 comments:

Post a Comment