Wednesday, May 24, 2017

Image result for Gianni Infantino
RAIS wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi leo amesema kuwa Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ametuma salam za pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2016/17 na ameitakia kheri Yanga.

0 comments:

Post a Comment