Tuesday, May 23, 2017


Khali ya Mume wa zamani wa Zari aitwaye Ivan sio nzuri kutokana na kuwa mahututi kwa mda zaidi ya wiki sasa akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU.Ugonjwa wake bado haujawekwa hadharani anasumbuliwa na nini japo kuwa inasemekana anaweza kuwa kapata strock.

0 comments:

Post a Comment