Friday, May 26, 2017

Baada ya hit record yake Namjua sasa Shetta yuko tayari kutoa kazi mpya. Wiki hii staa huyu wa bongo fleva ametuonyesha picha akiwa dubai kwaajili ya video mpya anayofanya.

Shetta yupo Dubai na Hanscana anayesimamia video 


0 comments:

Post a Comment