Diamond Platnumz amemtambulisha msanii Mpya wa WCB Wasafi leo 22 May 2017, msanii huyu anaitwa LavaLava.
Msanii huyu aliwahi kupata umaarufu YouTube baada ya kufanya Cover la wimbo wa Utanipenda wa Diamond Platnumz.
Msanii huyu tayari ametoa imbo mpya Unapatikana Www.Wasafi.Com , wimbo unaitwa #Tuachane umetayarishwa na Lizer Classic.
0 comments:
Post a Comment