
Ni Headlines za mwimbaji wa Taarabu Khadija Kopa na kufunguka kuhusu tutegemee muda wowote mwanao kutambulishwa kama msanii wa Diamond Platnumz (WCB).
‘Nilikwenda kwa Diamond Platnumz nikamwambia amsikilize mwanangu akamsikiliza na anasema amemuelewa yuko anasubiria kwani subira yavuta heri ndio riziki yake mwanangu kuimba kama isingekuwa riziki yake basi angepata label nyingine kwahiyo tutegemee muda wowote mwanangu kusainiwa WCB‘- Khadija Kopa
Unaweza ukabonyeza play kumtazama Khadija Kopa kuhusu kumpeleka mwanao Diamond Platnumz
0 comments:
Post a Comment