
Muimbaji
huyo amerudi tena kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka video ambayo
inamuonyesha akiwa mtupu huku ukisikika wimbo ukiimba na kuandika,
“Usi-judge kitabu kama hujakisoma ndani
.”
Hata hivyo imeonyesha kuwa picha hizo zilizozua utata mkubwa mapema wiki
hii ni ujio wa nyimbo yake mpya ya Ben ambayo imedaiwa kupewa jina la
‘Mateka’ na ndani yake amemshirikisha rapper Darassa.
Wimbo huo pia umetayarishwa na Tiddy Hotter ambaye alitengeneza wimbo mwingine wa Phone wa Ben.

0 comments:
Post a Comment